Naweza kuomba kazi kupitia Transcript?

Mkuu fatilia kuhusu Karagwe naona Graduate wakienda huko wanapata Maisha Mimi Mwenyewe soon ntaenda Kuna Mwanangu yupo NMB pale kanipa hints na Maisha yapo cheap hapa namuuguza Mzee akipona lazima niingie intirio
Ukiwa graduates kokote kambi

Zama ndichi mwana
 
Wakuu habari..

Kama kichwa cha habari hapo, kinanavyo sema, naweza kuomba ajira kupitia Academic Transcript, huku nikiwa nasubiria cheti..
Inawezekana ila uwezekano wa kuitwa kwenye usaili ni mdogo sana kwakuwa wewe umeweka transcript wenzako wengi wameweka vyeti na transcript
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…