Naweza kuomba kazi kupitia Transcript?

kama ni serikali haiwezekani, ila kama ni sekta binafsi unaweza ukawafata na wakakuruhusu ufanye usaili sababu cheti huwa hakichelewi kutoka.
 
Na wa LLB wako wapi?
Mkuu fatilia kuhusu Karagwe naona Graduate wakienda huko wanapata Maisha Mimi Mwenyewe soon ntaenda Kuna Mwanangu yupo NMB pale kanipa hints na Maisha yapo cheap hapa namuuguza Mzee akipona lazima niingie intirio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…