Mnyampaa msingida Senior Member Joined Aug 5, 2013 Posts 180 Reaction score 54 Jul 28, 2016 #1 Nina tamaa ya kujifunza lugha ya kiarabu. naombeni msaada wa wanajukwaa je kozi ya lugha ya kiarabu inatolewa sehemu gani kwa hapa Dar?
Nina tamaa ya kujifunza lugha ya kiarabu. naombeni msaada wa wanajukwaa je kozi ya lugha ya kiarabu inatolewa sehemu gani kwa hapa Dar?
Alisen Member Joined Jul 27, 2016 Posts 30 Reaction score 13 Jul 28, 2016 #2 Njoo bukoba Kuna shule nyingi
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Jul 28, 2016 #3 Labda uende zanzibar
samsun JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 7,386 Reaction score 5,968 Jul 28, 2016 #4 Mnyampaa msingida said: Nina tamaa ya kujifunza lugha ya kiarabu. naombeni msaada wa wanajukwaa je kozi ya lugha ya kiarabu inatolewa sehemu gani kwa hapa Dar? Click to expand... Sehemu ziko nyingi,lakini ya urahisi kukuelekeza ni pale Msikiti wa Magomeni mataa.
Mnyampaa msingida said: Nina tamaa ya kujifunza lugha ya kiarabu. naombeni msaada wa wanajukwaa je kozi ya lugha ya kiarabu inatolewa sehemu gani kwa hapa Dar? Click to expand... Sehemu ziko nyingi,lakini ya urahisi kukuelekeza ni pale Msikiti wa Magomeni mataa.
LUBEDE JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 4,322 Reaction score 6,694 Jul 28, 2016 #5 Mnyampaa msingida said: Nina tamaa ya kujifunza lugha ya kiarabu. naombeni msaada wa wanajukwaa je kozi ya lugha ya kiarabu inatolewa sehemu gani kwa hapa Dar? Click to expand... mtafute kalapina atakusaidia..
Mnyampaa msingida said: Nina tamaa ya kujifunza lugha ya kiarabu. naombeni msaada wa wanajukwaa je kozi ya lugha ya kiarabu inatolewa sehemu gani kwa hapa Dar? Click to expand... mtafute kalapina atakusaidia..
D de hunter Member Joined Apr 18, 2016 Posts 93 Reaction score 57 Jul 29, 2016 #6 Kirinjiko wanatoa diploma hiyi (kama sijakosea)
Mnyampaa msingida Senior Member Joined Aug 5, 2013 Posts 180 Reaction score 54 Jul 31, 2016 Thread starter #7 asanteni kwa ushauri wenu
Chumchang Changchum JF-Expert Member Joined Nov 1, 2013 Posts 6,134 Reaction score 6,419 Aug 1, 2016 #9 Vuka Bahari au ulizia waungwana wa Bagamoyo Kaole nawaona wako wengi sana Nina imani uwenda ukapata msaada tena watu wa uko ni waungwana sana, Mungu awazidishie kila la kheri kwao...
Vuka Bahari au ulizia waungwana wa Bagamoyo Kaole nawaona wako wengi sana Nina imani uwenda ukapata msaada tena watu wa uko ni waungwana sana, Mungu awazidishie kila la kheri kwao...
Mannuell Member Joined Jul 23, 2016 Posts 8 Reaction score 3 Aug 1, 2016 #10 NENDA MADRASA XENZ WEWE.
surangumu JF-Expert Member Joined Jul 14, 2016 Posts 254 Reaction score 98 Aug 1, 2016 #11 MBOBA SEHEMU ZIKO NYINGI TU ZA MAFUNZO YA KIARABU KAKA. KAMA VP NJOO UNIVERSITY OF DODOMA PIA WANATOA DEGREE YA ARABIC LANGUAGE MIAKA MITATU AU NENDA PALE MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO (MUM) PIA IPO MKUU
MBOBA SEHEMU ZIKO NYINGI TU ZA MAFUNZO YA KIARABU KAKA. KAMA VP NJOO UNIVERSITY OF DODOMA PIA WANATOA DEGREE YA ARABIC LANGUAGE MIAKA MITATU AU NENDA PALE MUSLIM UNIVERSITY OF MOROGORO (MUM) PIA IPO MKUU
rubii JF-Expert Member Joined Feb 22, 2015 Posts 14,106 Reaction score 18,715 Aug 2, 2016 #13 MKWEPA KODI said: Labda uende zanzibar Click to expand... ha ha ha aa
Valencia_UPV JF-Expert Member Joined Mar 31, 2016 Posts 7,682 Reaction score 9,529 Nov 18, 2020 #14 Waziri mpya aanze na hili
Mokobe JF-Expert Member Joined Sep 25, 2020 Posts 1,249 Reaction score 1,555 Nov 18, 2020 #15 njia rahisi ya kujua kiarabu basically inaweza kuwa karibu na hizo jamii kuna maneno mengi ya kiswahili ukitia bidii hutakosa kujua
njia rahisi ya kujua kiarabu basically inaweza kuwa karibu na hizo jamii kuna maneno mengi ya kiswahili ukitia bidii hutakosa kujua