Naweza kubadilisha kozi chuoni?

Naweza kubadilisha kozi chuoni?

Ivi endapo nitachguliwa education je, naweza kubadili kwenda fact nyngine??? wasomi wezangu naomba jib
Bila shaka ulimaanisha Facult!
Yakupasa ujue nini maana ya facult, kiufupi ni kitivo...
Uwezekano wa kubadilisha kitivo upo na pia unaweza kubadilisha kozi uliyochaguliwa kwenye kitivo husika na kuchagua nyingine kwenye hicho kitivo, isipokuwa kuna kozi nyingine huwezi kubadilisha!
Mfano education ie Bsc(ed) au Baed, ukichaguliwa kati ya hizi kozi mbili uwezekano wa kubadili na kwenda kozi nyingine ambayo si education ni mdogo sana!
Lakini kubadili kutoka kozi nyingine ambazo si education na kwenda education au kozi nyingine tofauti inawezekana ikiwa utakuwa una vigezo stahili!
 
Baed ni programu, na sio mfano wa kozi mkuu!
 
e.g
Faculty: education
programme: Baed
course : Pragmatics
note: courses utazipata katika masomo yako ambayo utakua umechagua mf Linguistcs & Geography plus others related to education.
unaweza kubadili masomo ndani ya wiki mbili
 
Back
Top Bottom