karim kindole
Member
- Aug 20, 2014
- 31
- 13
Inakuaje kam coz unayotaka haipo kwenye chuo ulichopata
Rehma na amani ziwe juu yenu.
Guys nahitaji msaada wenu nimemaliza form six 2014 nimeapply TCU bt first selection nliomba logistics and transport management (NIT) but unfortunately nime'login nakukuta ile first selection ni procurement and logistics management(NIT) yaani sielewi hata imekuaje na nimeshindwa kubadilisha kwa sababu tayar deadline ishafika.
Swali langu ni Je! Kama nkichaguliwa iyo procurement naweza kubadili course kwenda logistics and transport management?
Please guys naombeni msaada wenu wa mawazo.
Kama hizo kozi zote zipo chuo.hicho ulichoomba ukifika chuo tu unaandika barua ya kubadilisha ukitoa na sababu za kubadilisha,na kama zipo ndani ya faculty moja ndo inakuwa rahisi zaidi kubadili.Ukifika chuo kwenye ile Orientation week wanaeleza hayo yote jitahidi uwahi kufika chuo ukibahatika kuchaguliwa.Kila la kheri ndugu.
Loan board hawana mkataba na chuo wana mkataba na mwanafunzi as long as una mkopo hata ukihama chuo utakufuata tuVipi kuhusu mkopo haileti effect ukibadili course?
Thanks mkuuLoan board hawana mkataba na chuo wana mkataba na mwanafunzi as long as una mkopo hata ukihama chuo utakufuata tu
Mpaka hiyo course ya MD kuwe na nafasi kama imejaa sahauKama kuna mtu anasoma muhas anisaidie nahitaj kuhama course from medical labartoty to MD vigezo ni navyo is it possible?
Thnkx kkMpaka hiyo course ya MD kuwe na nafasi kama imejaa sahau