AHMEDY KIHEMBA
Member
- Jul 3, 2013
- 20
- 3
Wadau nina swali hapa. Mimi nimepangiwa chuo cha SAUT bachelor of art in Public relation and marketing!!. je naweza kuwaomba TCU kunipeleka UDOM
thread ya 2013naona hukujibiwa hii
thread ya 2013
but kwa mtu mwenye tattizo kama hili ni kwamba kuhama kwa vyuo vya private ni posible fuateni procedure
Mwambie aongee na mwalimu wake wa darasa au mwalimu wa zamu atamsaidia hapo chuoninina tatizo la mtoto wa kaka yangu amechagaulia St Augustine ilihali anataka UDOM.......nitashukuru kwa msaada wa procedure
Mwambie aongee na mwalimu wake wa darasa au mwalimu wa zamu atamsaidia hapo chuoni
Anatakiwa aripoti kwanza chuoni aliko pangiwa akifika ataenda kuonana na dean of school huyo ndio atampa maelezo yote, au anaweza akaenda T.C.U moja kwa moja kama yupo dasalamandio anaingia mwaka wa kwanza kachaguliwa St Augustine ila anataka UDOM na hajaripoti bado
atakwenda hapo TCUAnatakiwa aripoti kwanza chuoni aliko pangiwa akifika ataenda kuonana na dean of school huyo ndio atampa maelezo yote, au anaweza akaenda T.C.U moja kwa moja kama yupo dasalama
Mwambie asisahau mfagio wa chelewa
aende SAUT akaonane na dean of student au academic adviser wa wanafunzi atampa utaratibu/ushaurinina tatizo la mtoto wa kaka yangu amechagaulia St Augustine ilihali anataka UDOM.......nitashukuru kwa msaada wa procedure