Shilling ngapi? Nijipange
Shilingi 20 unayo?Shilling ngapi? Nijipange
Unafanyaje kuactivate?
Bonyeza hiyo link jichagulie activation key unayoitaka kulingana na OS yako.Unafanyaje kuactivate?
Naisubiri mkulungwa
ilishanikataa boss au wap nilikoseaTafuta kms activator
Mkuu wewe unataka kuacticate window ngapi? Je ni window10? Nikupe maujuzi ya kuactivate bure bila key ni mb zisizozidi 100
nime install ndo hivi karibun imegeuka kuw black kwenye screen ety inataka ni update first
mkuu ni window 7 ultimateMkuu wewe unataka kuacticate window ngapi? Je ni window10? Nikupe maujuzi ya kuactivate bure bila key ni mb zisizozidi 100
Sent using Jamii Forums mobile app
Akitafuta ya kuanzia January pia ina dark mode na naitumia piaDownload windows 10 with May update kwenye official page ya microsoft. Ina darkmode.
Mimi nilishindwa kudownload kwenye computer nikadownload kwa kutumia simu. Ina zaidi ya 5GB.
mkuuu hii imenikataaa nataka key ya window 7 ultimate ila inaniandikia hiv kwa nyingi nilizojaribu(