Nawaza Nitampataje Mwanangu

Kwani ww ulikua unataka penzi au mtoto? Mbona umekua kigeu geu aisee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majuto ya wengi hayo..
Una uwakika kama mwanao.. Eti umeambiwa mmefafana sasa Mkuu wachina mbona wamefa nana wote Baba mmoja?
Cha kukusaidia.. Tuma mjumbe akaya chunguze japo nina imani dogo ana Baba yake..
 
Kamanda wangu vipi kwani kuhusu mtoto wa Diwani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
blad faken...mkishwalala wadada wa watu hamna time nao, ila wakishazaa watoto wenu, ndio mnajidai kua na mahisia ..ma filingi, ma upendo kwamba ndio unamkumbuka...kama huyo dada atakukubali wewe pimbi niiite mimi pimbi,
huyo nina imani kabisa ameshapata mtu wewe kalagabaho tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbinu ya kumpata mtoto ni moja usomee walimu wa chekechea uwe unakutana naye.

Au ufungue banda la chips karibu na mazingira ya mtoto wenda utamuona


It is never to late to begin. Start now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…