Naunga mkono hoja yani kwa ujanja ujanja wanajiteka hadi wanajipiga risasi na kujifunga pingu za polisi, na wengine kujiweka lock up za vituo vya polisi. Waache kujiteka.Wengi tuliamini Jeshi la Polisi linahusika Kuteka na kutesa watu hasa Wenye kukosoa serikali katika Mambo mbalimbali. Lakini Jana IGP CAMILIUS WAMBURA akiwa Bariadi ameta.ka Wazi kabisa Polisi wake hawahusiki. Na ametoa mifano ya Mtoto wa Mbeya aliyetekwa Kwa maelekezo ya mama yake ili apate hela toka Kwa mzazi mwenzie na watoto wawili wa Mwanza mkubwa akiwa na miaka 12 waliojiteka na kupanga chumba ili wapige hela Kwa mama yao mzazi lakini Kwa weledi wa hali ya juu kabisa Polisi wa Bwana Wambura wakategua mtego ule na kuwakamata.
Baada ya yeye kutoa mifano na Mimi naomba nitoe mifano ya waliojiteka na kuwasihi Vijana wengine hili liwe fundisho kwao wakome kujiteka kama hawa nitakaowatolea mifano. WA Kwanza ni huyu shujaa wa Twitter X SATIVA aliyejiteka Kimara DSM, kisha Kwa utundu wake akajipeleka Polisi Oesterbay kwenye karakana akajipigapiga na vyuma vya magari kisha akaokota Pingu iliyosahauliwa na Askari wa traffic aliyekuwa amemfunga dereva wa daladala iliyopata ajali na kujifunga mikononi kisha akapanda basi la Air Msae Hadi Arusha Kwa demu wake ambako alikaa siku 2 na baadaye akapanda AN bus Hadi Katavi ambako alijipiga risasi ya taya Kwa bunduki aliyoachiwa na Marehemu Baba yake. Huyu bila wasamalia wema waliomuokota angekufa Kwa "ujinga" wake porini.
Wa pili ni Mombo kijana toka Handeni Tanga. Mgosi huyu naye kaleta usanii wa kisambaa. Kajiteka Tangu June 14 usiku kaenda kwenye mashamba ya Mapeas huko kajiburuza wewe kisha Kwa ujanja ujanja akajipenyeza Hadi lock up ya Polisi Handeni na kujichanganya na washtamiwa Ili ionekane alikamatwa na Polisi. Kumbe Polisi wa watu wala hawakuwa na shida naye japokuwa kuna kipindi zamaaani waliwahi kumtafuta Kwa makosa yake ya kuandika vitaarifa vya kishakunaku mitandaoni lakini walikuwa hawamtafuti kiviiile.
Sasa Kwa mifano hii miwili niungane na Jeshi tukufu la Polisi kukemea Tabia hii ya kujiteka iliyofanywa na Vijana hawa wawili Kwa lengo la kuchafua sifa nzuri ya Nchi yetu ya Amani na utulivu. Nawaunga mkono Polisi SATIVA na Mombo wafikishwe mahakamani Kwa kosa la kujiteka ili liwe fundisho Kwa Vijana wengine.
Alitekwa na wahuni wenzie aliowatukana,kwanza anaendeleajeKwahiyo Sativa alijiteka 😀😀
Kwa mujibu wa Wambura alijiteka.Kwahiyo Sativa alijiteka 😀😀
Umemuelewa vizuri mleta mada?Liamini wewe na mumeo, unamteka mtu siku 29 ndugu zake wanamtafuta then unasema tuliamini? kwani mkiliamini wewe na mumeo haitoshi?
Bandiko zuri la mwezi huu. Polisi wetu ni malaika kabisa.Wengi tuliamini Jeshi la Polisi linahusika Kuteka na kutesa watu hasa Wenye kukosoa serikali katika Mambo mbalimbali. Lakini Jana IGP CAMILIUS WAMBURA akiwa Bariadi ameta.ka Wazi kabisa Polisi wake hawahusiki. Na ametoa mifano ya Mtoto wa Mbeya aliyetekwa Kwa maelekezo ya mama yake ili apate hela toka Kwa mzazi mwenzie na watoto wawili wa Mwanza mkubwa akiwa na miaka 12 waliojiteka na kupanga chumba ili wapige hela Kwa mama yao mzazi lakini Kwa weledi wa hali ya juu kabisa Polisi wa Bwana Wambura wakategua mtego ule na kuwakamata.
Baada ya yeye kutoa mifano na Mimi naomba nitoe mifano ya waliojiteka na kuwasihi Vijana wengine hili liwe fundisho kwao wakome kujiteka kama hawa nitakaowatolea mifano. WA Kwanza ni huyu shujaa wa Twitter X SATIVA aliyejiteka Kimara DSM, kisha Kwa utundu wake akajipeleka Polisi Oesterbay kwenye karakana akajipigapiga na vyuma vya magari kisha akaokota Pingu iliyosahauliwa na Askari wa traffic aliyekuwa amemfunga dereva wa daladala iliyopata ajali na kujifunga mikononi kisha akapanda basi la Air Msae Hadi Arusha Kwa demu wake ambako alikaa siku 2 na baadaye akapanda AN bus Hadi Katavi ambako alijipiga risasi ya taya Kwa bunduki aliyoachiwa na Marehemu Baba yake. Huyu bila wasamalia wema waliomuokota angekufa Kwa "ujinga" wake porini.
Wa pili ni Mombo kijana toka Handeni Tanga. Mgosi huyu naye kaleta usanii wa kisambaa. Kajiteka Tangu June 14 usiku kaenda kwenye mashamba ya Mapeas huko kajiburuza wewe kisha Kwa ujanja ujanja akajipenyeza Hadi lock up ya Polisi Handeni na kujichanganya na washtamiwa Ili ionekane alikamatwa na Polisi. Kumbe Polisi wa watu wala hawakuwa na shida naye japokuwa kuna kipindi zamaaani waliwahi kumtafuta Kwa makosa yake ya kuandika vitaarifa vya kishakunaku mitandaoni lakini walikuwa hawamtafuti kiviiile.
Sasa Kwa mifano hii miwili niungane na Jeshi tukufu la Polisi kukemea Tabia hii ya kujiteka iliyofanywa na Vijana hawa wawili Kwa lengo la kuchafua sifa nzuri ya Nchi yetu ya Amani na utulivu. Nawaunga mkono Polisi SATIVA na Mombo wafikishwe mahakamani Kwa kosa la kujiteka ili liwe fundisho Kwa Vijana wengine.
Habari kiongozi.Wengi tuliamini Jeshi la Polisi linahusika Kuteka na kutesa watu hasa Wenye kukosoa serikali katika Mambo mbalimbali. Lakini Jana IGP CAMILIUS WAMBURA akiwa Bariadi ameta.ka Wazi kabisa Polisi wake hawahusiki. Na ametoa mifano ya Mtoto wa Mbeya aliyetekwa Kwa maelekezo ya mama yake ili apate hela toka Kwa mzazi mwenzie na watoto wawili wa Mwanza mkubwa akiwa na miaka 12 waliojiteka na kupanga chumba ili wapige hela Kwa mama yao mzazi lakini Kwa weledi wa hali ya juu kabisa Polisi wa Bwana Wambura wakategua mtego ule na kuwakamata.
Baada ya yeye kutoa mifano na Mimi naomba nitoe mifano ya waliojiteka na kuwasihi Vijana wengine hili liwe fundisho kwao wakome kujiteka kama hawa nitakaowatolea mifano. WA Kwanza ni huyu shujaa wa Twitter X SATIVA aliyejiteka Kimara DSM, kisha Kwa utundu wake akajipeleka Polisi Oesterbay kwenye karakana akajipigapiga na vyuma vya magari kisha akaokota Pingu iliyosahauliwa na Askari wa traffic aliyekuwa amemfunga dereva wa daladala iliyopata ajali na kujifunga mikononi kisha akapanda basi la Air Msae Hadi Arusha Kwa demu wake ambako alikaa siku 2 na baadaye akapanda AN bus Hadi Katavi ambako alijipiga risasi ya taya Kwa bunduki aliyoachiwa na Marehemu Baba yake. Huyu bila wasamalia wema waliomuokota angekufa Kwa "ujinga" wake porini.
Wa pili ni Mombo kijana toka Handeni Tanga. Mgosi huyu naye kaleta usanii wa kisambaa. Kajiteka Tangu June 14 usiku kaenda kwenye mashamba ya Mapeas huko kajiburuza wewe kisha Kwa ujanja ujanja akajipenyeza Hadi lock up ya Polisi Handeni na kujichanganya na washtamiwa Ili ionekane alikamatwa na Polisi. Kumbe Polisi wa watu wala hawakuwa na shida naye japokuwa kuna kipindi zamaaani waliwahi kumtafuta Kwa makosa yake ya kuandika vitaarifa vya kishakunaku mitandaoni lakini walikuwa hawamtafuti kiviiile.
Sasa Kwa mifano hii miwili niungane na Jeshi tukufu la Polisi kukemea Tabia hii ya kujiteka iliyofanywa na Vijana hawa wawili Kwa lengo la kuchafua sifa nzuri ya Nchi yetu ya Amani na utulivu. Nawaunga mkono Polisi SATIVA na Mombo wafikishwe mahakamani Kwa kosa la kujiteka ili liwe fundisho Kwa Vijana wengine.
Ebwanawee hii story ndivyo ilivyokua Ila umesahau kabla ya kufanya yote hayo alishtua kitu Jani KorofiWA Kwanza ni huyu shujaa wa Twitter X SATIVA aliyejiteka Kimara DSM, kisha Kwa utundu wake akajipeleka Polisi Oesterbay kwenye karakana akajipigapiga na vyuma vya magari kisha akaokota Pingu iliyosahauliwa na Askari wa traffic aliyekuwa amemfunga dereva wa daladala iliyopata ajali na kujifunga mikononi kisha akapanda basi la Air Msae Hadi Arusha Kwa demu wake ambako alikaa siku 2 na baadaye akapanda AN bus Hadi Katavi ambako alijipiga risasi ya taya Kwa bunduki aliyoachiwa na Marehemu Baba yake. Huyu bila wasamalia wema waliomuokota angekufa Kwa "ujinga" wake porini.
Bado anamalizia malizia zile Million 35 alizopewa Zawadi ya kichapo na pongezi ya kuvuta Bangi bila faida, hayo ndio maendeleo yake kwa sasaAlitekwa na wahuni wenzie aliowatukana,kwanza anaendeleaje
umbwaaa mkubwa huyo, ile 35m ilitolewa ya nn?Tundu lissu alipigwa more than 30+ bullets kwenye viunga vya bunge. Lakini no single soul has ever been investigated about it. Umbwaaa