Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 4,448
- 10,765
PE, ilitusumbua sana miaka hiyo tunasoma shule za bweni[emoji23]Hiyo ni pumbu erosion! π π π
Shukrani sana mkuuJaribu kutumia dettol za maji, siyo zile nyeusi, zile zenye rangi ya brown, changanya na maji kwenye ndoo then unajimwagia mwilini kila unapooga, itasaidia kwa vipele na kuwashwa pia. Then Tumia sabuni ya dettol herbal, make sure ni dettol herbal kuogea. Hayo matatizo ya ngozi yote yataisha, ila hizo mambo zingine za kuwashwa mrija nenda hospital.
Uwa nachanganya ya DAWASA na DUWASA kama nitakuwa nimekuelewaUnaoga maji gani?
Natumia ila sio kila mara maana sina tabia ya kufanya mapemzi msongamano.Kwanza nikuulize
Unatumia kondomu kila Mara?
Maana nahisi Ni ugonjwa wa zinaa maana hata Kama mzinzi atatumia kondomu lkn Kuna sehemu za mwili lazima zigusane.
Vyangudoa wengi wanakuwaga na hivyo vi ukurutu hasa sehemu zao za makalio na sehemu za siri. Huenda ulitembelea Buza kwa Mpalange ndio maana unawashwa chini ya kitovu.
Kama uko Dar nenda pale Regency utolewe damu halafu wataipeleka kwenye maabara yao iliyoko Nairobi.Natumia ila sio kila mara maana sina tabia ya kufanya mapemzi msongamano.
Mbona unatoa hukumu. Nashukuru hasa kwa msaada wako japo wa nasimangoKama uko Dar nenda pale Regency utolewe damu halafu wataipeleka kwenye maabara yao iliyoko Nairobi.
Ssiku nyingine ukikutana na mwanamke ambaye humuamini mpaka utumie kondomu jaribu kujifanya unacheki oil lkn upapase katikati ya mapaja na makalio, ukihisi ukurutu au vipele vidogovidogo kanawe chap na uishie.
Mwisho kabisa epuka kwenda chumvini.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji125][emoji125][emoji125]Hiyo ni pumbu erosion! π π π
Fangas haoMsaada nina shida ya kuwashwa na mwili. Sehemu zinazoniwasha ni tumboni chini ya kitovu na mapajani kiasi kwamba zinatoka kama upele.
Nimeenda hospital nimeambiwa nimeze dawa za minyoo na dawa ya Aleji.
Nawashwa sana kwenye mrija wa uume najikuna sana na ngozi ya pumbu inakakamaa.
Msaada.
Sawa Daktari tiba yake ni nini sasa.Fangas hao
1.Chemsha majani ya muarobaini Kisha epuaSawa Daktari tiba yake ni nini sasa.