Nawashukuru wote Mlionishauri kusoma Civil Engineering!

Ryzen

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
7,312
Reaction score
8,754
Ni kweli nilikuwa naipenda sana Electrical/Telecoms Engineering, labda kwa kuwa nilikuwa siifaham vizuri Civil Engineering! Wadau mkanishauri niisome hii kozi...Mkiwa na fact zenu kwamba ni pana na bado inalipa endlesly....kishingo upande nikajitupiaa!

Siku zikaenda zikarudi nikahiisi mbona naipenda hii kozi nikaona kabisa kwa Hii kozi nitakuwa na Bright Future!....Hakika nimeanza kuona matunda!
Kwa Mfano huku field Tanroads mkoaa Fulani Huku tukienda site lazima upigwe 70000 kwa siku...na apo wewe ni Trainee na ukikaa siku saba una Laki Saba....hakika apa sijakosea Njia!

Kikubwa nawashukuru wote mlionishauri na kunishi niishikilie Civil Engineering Nisije kuiacha Ikaenda zake!
 
Hongera mkuu
Ila nina kajiswali
Umetafiti kuhusu maenginia wenzio?
Ni kwanini pamoja na kupata pesa nyingi wengi ni waluwaluu?
Nini shiida?
 
70,000×7=490,000/=

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
 
Hongera mkuu always hard work pays

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Hongera mkuu
Ila nina kajiswali
Umetafiti kuhusu maenginia wenzio?
Ni kwanini pamoja na kupata pesa nyingi wengi ni waluwaluu?
Nini shiida?
waluwalu una maana gani mkuu!
 
70,000×7=490,000/=

Sent from my iPhone6 using JamiiForums mobile app
Ndio Mkuu Kama Juzi nimekaa site kimasihara tu kwa siku 5 nikapigwa 350K afu trainee ase!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…