Nawashauri wanaCCM kumpuuza Membe

Bahati mbaya au nzuri akili hua zinawarudia wakishakuwa nje ya system. Hata hawa wanaotoa povu wakitolewa leo, kesho watajiunga kutaka Tume huru.
 
Membe anawasumbua sana ccm na mkimpuuzia mtaona matokeo yake. Na mkiaach ashindane kwa haki na jiwe Membe anaibuka mshindi asubuhi sana.
 
Kauli yako hii Katiba chini vya Magufuli ni kama gazeti la udaku siyo ya kusema ukweli bali ya mtu aliyekata tamaa.

Sina chembe ya shaka ya nilichokisema. Ukiona mtu anasaka kinga ya kutoshtakiwa, hapo jua katiba kwake ni kama novel tu.
 
Reactions: BAK
Kama unajua maana na thamani ya raslimali muda, usingeleta lawama na madai ya Tume Huru mitandaoni.

Najua ninachokisimamia. Mitandao ni platform huru za kisasa za kuweka wazi misimamo ya mtu.
 
Reactions: BAK
Huu ndo ukweli wenyewe.Watanzania sasa hawataki kuisikia ccm,wamebaki kulazimisha kutawala.Wengi hawataenda kwenye maigizo ya uchaguzi
 
Membe ameongea ukweli mtu.CCM KUNA FOMU MOJA TU YA KUWANIA URAIS
 
Kosa lake ni nini kweli, tukumbushane kama lipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…