thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,114
Kwanini Wampuuze wakati anadai haki yake au hujui katiba inasemaje ya chama Mwacheni apiganie haki yakeHuyu kiumbe anatafuta attention sana,nakumbuka baada ya maamuzi kutolewa na kamati Kuu ya kuwa katimuliwa chamani alijitutumua kujibu mapigo lakini alipuuzwa,
Ikaja korona akaibukia DW( Deutch welle),akakomaa tutatengwa,akaona kimya hakuna aliemjibu,kifupi alipuuzwa.
Nashauri kwa kauli zake za jana trh 19/06/2020 huko kijijini kwake Londo, Lindi,ni muendelezo wa kutafuta attention,akijibiwa ni kumpaisha ,apuuzwe tu,chama kiendelee na taratibu kilichojiwekea bila ya kusemezana nae,litakuwa ni anguko lake bila kutumia nguvu kumuangusha
Kwani 2015 alipokua anataka kugombea aliwahi kusema time haipo huru au au yeye ana tume yake huru yakumpa urais anaoulilia Sasa na baadae?Mwenzio Mwigulu huko povu kama lote, mpaka amejikuta anaandika kwa herufi kubwa. Sio kwamba ccm hawataki kukaa kimya, ila watakaaje kimya wakati yeye anaongelea tume huru ya uchaguzi? Ifahamike kuwa hii tume isiyo huru ya uchaguzi, ndio roho ya ccm kuendelea kukaa madarakani.
Weka jina lako na Namba ya simu.Huyu kiumbe anatafuta attention sana,nakumbuka baada ya maamuzi kutolewa na kamati Kuu ya kuwa katimuliwa chamani alijitutumua kujibu mapigo lakini alipuuzwa,
Ikaja korona akaibukia DW( Deutch welle),akakomaa tutatengwa,akaona kimya hakuna aliemjibu,kifupi alipuuzwa.
Nashauri kwa kauli zake za jana trh 19/06/2020 huko kijijini kwake Londo, Lindi,ni muendelezo wa kutafuta attention,akijibiwa ni kumpaisha ,apuuzwe tu,chama kiendelee na taratibu kilichojiwekea bila ya kusemezana nae,litakuwa ni anguko lake bila kutumia nguvu kumuangusha
What next?Weka jina lako na Namba ya simu.
Tutakupigia kukiwa na kazi ya kufagia hapa LumumbaWhat next?
Shukrani sanaTutakupigia kukiwa na kazi ya kufagia hapa Lumumba
Apuuzwe kwa kupewa fomu ili tuone ataambulia nini !Huyu kiumbe anatafuta attention sana,nakumbuka baada ya maamuzi kutolewa na kamati Kuu ya kuwa katimuliwa chamani alijitutumua kujibu mapigo lakini alipuuzwa,
Ikaja korona akaibukia DW( Deutch welle),akakomaa tutatengwa,akaona kimya hakuna aliemjibu,kifupi alipuuzwa.
Nashauri kwa kauli zake za jana trh 19/06/2020 huko kijijini kwake Londo, Lindi,ni muendelezo wa kutafuta attention,akijibiwa ni kumpaisha ,apuuzwe tu,chama kiendelee na taratibu kilizojiwekea bila ya kusemezana nae,litakuwa ni anguko lake bila kutumia nguvu kumuangusha
Kazi keishapewa Lijualikali!Tutakupigia kukiwa na kazi ya kufagia hapa Lumumba
Wote watafanya hio kaziKazi keishapewa Lijualikali!
Labda fomu ya kujiunga Makongo secondary school!Apuuzwe kwa kupewa fomu ili tuone ataambulia nini !
Soma Ibara ya 74 ya Katiba ya JMT uchambue vifungu vinavyoifanya Tume ya Uchaguzi ipoteze sifa za kuwa huru. Bla bla za kulalamika na kulaumu ni mbinu za kuhamisha goli au kushindwa kwenye uchaguzi kiwe kisingizio.Mwenzio Mwigulu huko povu kama lote, mpaka amejikuta anaandika kwa herufi kubwa. Sio kwamba ccm hawataki kukaa kimya, ila watakaaje kimya wakati yeye anaongelea tume huru ya uchaguzi? Ifahamike kuwa hii tume isiyo huru ya uchaguzi, ndio roho ya ccm kuendelea kukaa madarakani.
Attention hiko hapa!Anaegawa hela mitaani kama njugu huku tukimshangilia na kumsifu, sijui naye huwa hatafuti attention?!
Soma Ibara ya 74 ya Katiba ya JMT uchambue vifungu vinavyoifanya Tume ya Uchaguzi ipoteze sifa za kuwa huru. Bla bla za kulalamika na kulaumu ni mbinu za kuhamisha goli au kushindwa kwenye uchaguzi kiwe kisingizio.
Na uendelee kukata tamaa hivyo. "Hasira za mkizi furaha ya mvuvi"Katiba chini vya Magufuli ni kama gazeti la udaku.
Umeshauriwa usome katiba ya nchi sio ya CHADEMA!Katiba chini vya Magufuli ni kama gazeti la udaku.