hebu tuanze kwanza na salam..... habari wana jamvi
leo nimeamua kawasalimia ndugu zangu
naanza hivi
1. Nawasalimia wanaume ambao wakiwa wanagombana na wake zao au wapenz wao hutumia kauli chafu kumlekebsha au kumuonya mwanamke .....Et wanaonyesha wamechukia... hahaha bro hekma na busara ya mtu huonekana anapo ongea na mwenye jazba...USICHUKIE NAKUPA HAI TU......
2. nawasalimia wanaume ambao mnatumia vyeo vyenu vya kazi,magali,pesa,na vingne kama nyenzo za kuwalaghai na kuwabadilisha wanawake kama nguo.... kaka dunia inatosha kwa mahitaji ya kila mtu ila haitosh kwa tamaa ya mtu mmoja...Endelea bro maana hata wagonjwa wa ukimwi nao ni watu..
3. nawasalimia wanaume Ambao ni mafundi wa kuongea kwa simu kuonyesha kua mnayajua mapenzi vizuri kitandani ...mkifika eneo la tukio hahahah maneno yako yaleeee ni tofaut na vitendo vya uwanjani....bro Sex si kitu masiala acha uwongo mbuzi weeh
4. Nawapa hai wanaume wanaofanya kazi za udeleva wa magali makubwa yani nynyi kaka zangu baadhi yenu kwanza nicheke kidogo hahahahahaha.......kila kituo una mpenzi tena wengne mpaka mna safiri nao huku nyuma umeacha mkeo na watoto wawili.....Halafu unaenda kanisani au msikiti unaomba eee Mungu nijalie kizaz bora......Bro nakusalimia tu
5. eeeeh mpka nataka kusahau....nawasalimia wanaume ambao ni wepesi wa kuwatafutia wadada nafasi za kazi wakizipata
tatizo lipo hapa mdada anatongozwa anatumikia ngono mpaka anataman kuacha na hiyo kazi tena wanaume wengne wakimataliea wananza kusema oooh!! ulikua kapuku nimekutafutia kazi.. MJOMBA kwani kazi uliyotafutiwa na mwanaume mwenzako alitaka na yeye aku......... mbona unakua na akil za kuku.......nakusalimia tu
6.Simu ya mpenzi wako unapenda uwe na uhuru nayo ya kwako mpaka bafuni unaenda nayo....uwiiiiii mapenzi ya dhati kazi... unajikausha nini????? hata ww nakusalimia tena nakwambia punguza umalaya bwege weee...
7. MWANAUME mwenzako kafanya kitu kizuri kasifiwa na mwanamke ww unamchukia badala ya kuiga maaarifa na ww uwe kama yeye bro acha wivu ...tena ngoja nikuimbie wimbo
jibebebe..... hembu jibebebe
hahaha ndio nibebe mbuzi wee
8. Nakusalimia mwanaume ambaye ukiongea na mwanamke unaangalia pembeni...... Daaah bro skia
Kutanisha macho kwa macho wakati wa kuzungumza na mtu.
Inaonyesha kiwango cha ujasiri, uaminifu na maslahi ya kweli pia uongeza mkazo kwenye kile unachokiongea
mwisho nakusalimia na wewe utakayetoa povu apo chini
Sent using
Jamii Forums mobile app