Karibu sana mimireo, kuna vitu vya maana sana humu kwa WANAOTAKA kuviona na wanaotaka kujifunza. maana hata katika ujinga kuna kitu cha kujifunza.
Habari zenu jamani, ni matumaini yangu kuwa wote hamjambo, mimi pia sijambo; mimi ni member wa mda mrefu lakini mara nyingi nilikuwa si mwongeaji bali nimekuwa nikijifunza kupitia post tofauti tofauti.
Real other guys meant alot what they are doing " you real make some people change.
Asante nawatakia siku njema.
Mzima kaka mkubwa? Mie niko poa kabisa namshukuru Muumba wetu. Ni kweli JF ni shule ya aina yake, lakini bahati mbaya baadhi wameamua kuukuambatia ujinga milele. Hata wawe hapa kwa miaka chungu nzima kamwe hawawezi kubadilika wataendelea kuukuambatia ujinga, uharamia ambao una hasara kubwa katika maisha yetu ya kila siku na nchi yetu pia.
Hapo kwenye RED na hali halisi:
Hapo kwenye RED na hali halisi:
karibia kwa karibu zaidi
Habari zenu
jamani, ni matumaini yangu kuwa wote hamjambo, mimi pia sijambo; mimi ni
member wa mda mrefu lakini mara nyingi nilikuwa si mwongeaji bali
nimekuwa nikijifunza kupitia post tofauti tofauti.
Real other guys meant alot what they are doing " you real make some
people change.
Asante nawatakia siku njema.
mhhhh cku nyingi teeena,,, join date june 2014,,,,!!!!!!! ahhhhh hataaaare hiii yeeena lakini karbu mkuu tupo pamoja