nawaona baadhi ya wabunge wakiishiwa cha kusema kabla bunge ya kuanza

The Phylosopher

JF-Expert Member
Mar 11, 2015
1,911
2,891
wabunge waliozoea kubeba hoja za vyama vyao watavurugikiwa kwani mtindo wa serikali ya magufuli unawapendelea wabunge wenye kuongea maswala yanayohusu wananchi wa kawaida kabisa ktk uhalisia wao ni kwa sababu hi nawahurumia wabunge wasioweza kujenga hoja binafsi bali kudandiadandia hoja za vyama vyao
 
Wabunge wengi watakosa hoja maana ccm na chadema wote vyama vyao vimegeuka katika hoja za msingi za vyama vyao. Nionavyo mimi ubunifu wa mbunge katika kuwatumikia jimboni kwake ndo kutambeba mbunge
 
Na kuna kuuliza swali ukaonekana kituko make waziri ana uelewa mwingi kuliko muuliza swali, kumbuka hawa mawaziri ni merit based.
 
mm nlishasema wapiga makofi na kusifia chama awamu hii hawana cha kuongea kabisaa, maana walibakia kupiga hela na kubaki kusifia chama mm yangu macho.
 
Back
Top Bottom