Nawamiss Ila......

aiyaaa sijatajwa!!! sijamissiwa!!! pole yangu!!!
 
aiyaaa sijatajwa!!! sijamissiwa!!! pole yangu!!!

LOL sio hivyo mpenzi wang we mwenyewe unajua huwa tunakutana wapi na si nyakati za shida tu hapana ht nyakati za raha.... mekumiss Paloma my wedding planner/adviser......kisses for you darling
 
Kaka mkubwa ulimtorosha wapi huyu binti...naona mmepotea wote kwa mpigo!!

tulienda kuwajibika na darling wangu kilimo cha karanga unafikiri mchezo...KILIMO KWANZA HOYEEEEEEE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…