passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,841
- 13,074
ramli zingine ni nonsense na za kindezi mno, gentleman,Kwenye vitabu vya dini imeandikwa utavuna ulicholipanda.utawala huu umepanda mauaji,ufisadi,unakandizaji wa democrasia yaani umepanda maovu kila sehemu.
Yaani utawala huu umepanda umauti kwenye nchi yetu.umauti wa demokrasia,umauti wa watu,umauti wa maadili yaani watu kutekwa na kufanyiwa vitu vichafuNk.
Kwa kuwa utawala huu umepanda umauti na wenyewe utapata umauti ni suala la muda tu.kwa sababu damu za watanzania zinamlilia Mungu na pia Mungu aliona mateso ya wapinzani na watu wengine waliotekwa.
Kwa hiyo ni suala la muda tu na nyie wenyewe mnaona utawala unavyotapatapa ni process tu.mauaji na mateso ya watanzania hayayasahauliki wala kusameheka kwa sababu mmekataa kutubu na kunyenyekea ni suala la muda tu.
Spirit of death is really haunting the rulers, in the realm of spirit world they are deemed as the walking corpses.Kwenye vitabu vya dini imeandikwa utavuna ulicholipanda.utawala huu umepanda mauaji,ufisadi,unakandizaji wa democrasia yaani umepanda maovu kila sehemu.
Yaani utawala huu umepanda umauti kwenye nchi yetu.umauti wa demokrasia,umauti wa watu,umauti wa maadili yaani watu kutekwa na kufanyiwa vitu vichafuNk.
Kwa kuwa utawala huu umepanda umauti na wenyewe utapata umauti ni suala la muda tu.kwa sababu damu za watanzania zinamlilia Mungu na pia Mungu aliona mateso ya wapinzani na watu wengine waliotekwa.
Kwa hiyo ni suala la muda tu na nyie wenyewe mnaona utawala unavyotapatapa ni process tu.mauaji na mateso ya watanzania hayayasahauliki wala kusameheka kwa sababu mmekataa kutubu na kunyenyekea ni suala la muda tu.
Ww ni mzee wa hovyo kabisa.ramli zingine ni nonsense na za kindezi mno, gentleman,
ni wazi nonsense past decisions zinawasulubisha mno mioyoni, nadhani huo ni mwanzo tu na ndo kwanza hata mwaka wa kwanza haujaisha
Gentleman,Ww ni mzee wa hovyo kabisa.
Dua la kuku. Huo msemo ni kwa ajili ya watenda Haki na hauwahusu wafitini, waongo, wenye chuki na hila. Tuliona maandamano yalivyoambatana na wizi, uporaji, Nia ya kuua na kuharibu Mali za wasio wanachadema n.k.Kwenye vitabu vya dini imeandikwa utavuna ulicholipanda.utawala huu umepanda mauaji,ufisadi,unakandizaji wa democrasia yaani umepanda maovu kila sehemu.
Yaani utawala huu umepanda umauti kwenye nchi yetu.umauti wa demokrasia,umauti wa watu,umauti wa maadili yaani watu kutekwa na kufanyiwa vitu vichafuNk.
Kwa kuwa utawala huu umepanda umauti na wenyewe utapata umauti ni suala la muda tu.kwa sababu damu za watanzania zinamlilia Mungu na pia Mungu aliona mateso ya wapinzani na watu wengine waliotekwa.
Kwa hiyo ni suala la muda tu na nyie wenyewe mnaona utawala unavyotapatapa ni process tu.mauaji na mateso ya watanzania hayayasahauliki wala kusameheka kwa sababu mmekataa kutubu na kunyenyekea ni suala la muda tu.
Wajinga hao ,tena unakuta kiongozi wa dini kabisa ..Wamebaki kupiga ramli hawa waganga wavaa suti.π πDua la kuku. Huo msemo ni kwa ajili ya watenda Haki na hauwahusu wafitini, waongo, wenye chuki na hila. Tuliona maandamano yalivyoambatana na wizi, uporaji, Nia ya kuua na kuharibu Mali za wasio wanachadema n.k.
Mungu ataendelea kuwalaani hawa Kwakweli.Wajinga hao ,tena unakuta kiongozi wa dini kabisa ..Wamebaki kupiga ramli hawa waganga wavaa suti.π π
Itasikitisha na kushangaza sana hawa waovu wakiendelea kuwa miongoni mwa jamii, wakifurahia matunda ya uovu wao baada ya kutupwa nje..Kwenye vitabu vya dini imeandikwa utavuna ulicholipanda.utawala huu umepanda mauaji,ufisadi,unakandizaji wa democrasia yaani umepanda maovu kila sehemu.