Nawakaribisha wanaJF Xmas

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,203
999
Leo tarehe 25 Dec tunasherekea kuzaliwa kwa Yesu Christo mwana wa Daud, ambapo ni kumbukumbu ya miaka 2000 iliyopita tangia Azaliwe katika Bethlehem ya Uyahudi Zamani za Mfalme Herode na bikira Mariam.

Hivyo kwa kuazimisha sikukuu hii nawakarisha wana jf wote ambao tulishiriki pamoja katika ujenzi wa Taifa letu.

Na wale ambao tulipishana kwa maneno kwa njia yyte ile basi tusameheane lengo ilikuwa ni kujenga Taifa letu jipya la Tanzania.

Karibuni sana kwangu mbweni na vyote vilisha kwishaa andaliwa
Kula
Kunywa
Kucheza
Vilishalipiwa.
Karibuni sana
 
Back
Top Bottom