Nawakaribisha wana JF kesho Pasaka

Ikiwa kesho (jumapili) ndiyo siku aliyofufuka YESU, basi wasabato wako sahihi, jumamosi ndiyo sabato, siku sahihi ya kuabudu sasa kwanini tunaabudu jpili.
Msaada najaribu kuwaza tu juu ya tuliyoaminishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…