comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,353
- 16,961
Wapi, au umesoma vibaya π€£π€£Majani ya kundu ndio kitu gani?
Awe kienyeji ogKuku wa kubanika mkuu
Tulikua tushasoma majani ya kundu nkajisemea kweli this is pasaka, ndo mboga gani hiyo.Wapi, au umesoma vibaya π€£π€£
Umerekebisha panya weweπ πWapi, au umesoma vibaya π€£π€£
Yes kabisaAwe kienyeji og
Kumbe umeona na weweTulikua tushasoma majani ya kundu nkajisemea kweli this is pasaka, ndo mboga gani hiyo.
Utakua umesoma vibaya Mimi sijaandika hivyoTulikua tushasoma majani ya kundu nkajisemea kweli this is pasaka, ndo mboga gani hiyo.
NmeonaKumbe umeona na wewe
Nyie macho yenu mabovuKumbe umeona na wewe
Eti majani ya kunduπ€£π€£π€£π€£π€£Nmeona
Sana tuComredi, unataka dada zetu wakaribie uwatembezee RUNGU LA KIPEPEπ
QmamaeπMishahara haijaingia kesho smart gin zinauzika sana
Nkajua mboga mpya imekuja na ufufuko......πππππEti majani ya kunduπ€£π€£π€£π€£π€£
Ukienda kwa mangi utaskia nipe nusu..unajiuliza Nini hiyo nusu unakuta mwamba kapewa smart Gin..Yani inauzwa Hadi nusuM
Qmamaeπ
Kwa hiyo kiti moto ya mafuta hivyo , hiyo mboga ilikua inafaa kabisa πNkajua mboga mpya imekuja na ufufuko......πππππ