Mambembe
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 2,217
- 2,970
kama kawaida yangu mama lao mnanijuaa sinaga kazi mbovu leo nataka kuwaibiaa siri wengi wenu msio ijuaa
Ni hivi since most of waliwaji ni marafiki zangu i mean ma (gasho)na sisi watoto wa mjini kuwa na marafiki wakiume wa upande wa pili inakuwa pambe manake twapata kuyajua mengi haswaaa,basi nataka niwape siri moja msio ijuaa haswa haswa wanawake wenzangu wale tuliochelewa kufika mjini
Ukiona mwanaume kavaa pete kidole cha kwanza sio gumba cha shahada shoga angu anakutaka kimbiaa huyo sio mwenzio either ni mke wa mtu au ni mume wa mtu ila ni sh$@ga hiyo ndo ishara yao kubwa so ukiona mtu kavaa pete kwenye hicho kidole kuwa naye makini sio urembo ule ati hizo ni ishara zao
kama unabisha chunguza then Thank me later ♀️ ♀️ ♀️ ♀️
Call me quen of king bed
mama lao
unstoppable
mambembe kiboko yao!!!
Sent using Jamii Forums mobile app

kama unabisha chunguza then Thank me later
Call me quen of king bed
mama lao
unstoppable
mambembe kiboko yao!!!
Sent using Jamii Forums mobile app