Nawachukia wanaume

Nawachukia sana wanawake, wanapenda tuwajali lakini wao hawajali mtu, wanapenda kupewa Wala hawapendi kutoa, wanadhani maungo yao ni fulsa ya kupatia kipato wanasahau kuwa nao wana mikono miwili miguu miwili, na kichwa kimoja kama wanaume
Unajitahidi kumpenda Kwa mke Kwa bidii zote lkn unapigwa na matukio ya ajabu ya kuumiza kichwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nawachukia wanaume.

Wanaume wa sikuizi wengi wao.
Hawana mapenzi ya dhati.
Wameacha kutujali kama zamnai.
Hawatusikilizi.
Wanatudharau.

Kiukweli nawachukia tu
Unawachukia ndani ya muda huo huo unamtafuta wa kukuoa au utaolewa na mwanamke mwenzio
Refer[emoji116][emoji116]
 
Kweli huyu psycho, ndani ya dakika kumi na mbili, yaani kati 05:17 Hadi 05:28 keshatoa threads 6 halafu zenye contradicting premises; upande mmoja anasifia mapenzi upande mwingine anasema mapenzi basi, upande mwingine anasema hawataki wanaume mara ndani ya dakika moja anasema anatafuta mume, na hizo ni threads alizotoa ndani ya siku moja within short time interval not exceeding 12min, Jamani msaidieni.
 
Nawachukia wanaume.

Wanaume wa sikuizi wengi wao.
Hawana mapenzi ya dhati.
Wameacha kutujali kama zamnai.
Hawatusikilizi.
Wanatudharau.

Kiukweli nawachukia tu
Ukute hata wanaume nao haakupendi. Sio lazima kupenda, punguza makasiriko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…