Nawachukia wanaijeria

Washawasha

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Posts
16,976
Reaction score
13,435
Sijui ni kwanini lakini leo nimeona bora nieleze ukweli wangu kutoka moyoni.
NASEMA HIVI NAWACHUKIA WANAIJERIA(NIGERIA)
Nalog off
 
Kila sifa nzuri África Nigeria wanayo na kila sifa mbaya wanayo pia. Ni wewe kuchagua upande gani wa kuwatazamia hawa jamaa
 
Kila sifa nzuri África Nigeria wanayo na kila sifa mbaya wanayo pia. Ni wewe kuchagua upande gani wa kuwatazamia hawa jamaa

nawatazama kwenye ubaya.
Nalog off
 
watakupa mbinu kibao ila usishiriki nao,ni wajanja but kama upo nao jifanye mnashirikiana na utafaidi tu,
acha uwoga
 
Tumekusoma. Mimi pia nadhani nawachukia hawa jamaa
 
watakupa mbinu kibao ila usishiriki nao,ni wajanja but kama upo nao jifanye mnashirikiana na utafaidi tu,
acha uwoga
Mkuu wa band hawa jamaa hawachelewi kukufanya dili ghafla tu.
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…