love more than100
JF-Expert Member
- Jan 27, 2014
- 2,061
- 715
Ki ukweli nikiona faragha na mpenzi wangu hua namuambia avae underscet hua navutiwa sana na nguo iyo ya ndani midadi inanipanda sana jamani acheni tu yani natamani ata niitafune ii nguo ya ndani
ha ha ha ha umenifanya nicheke kwa nguvu wallah .......neno KISHIDA halitumiki sana latumika underskit KakaJambazi
Underskirti ndo nini au ndo kishida!?
tupia picha tafadhali.
Kazitunayo au ulichukua mzigo mwingi sasa hujauuza unapigia promo? siku hizi hazivaliwi, walikuwa wanavaa mama zetu.Ki ukweli nikiona faragha na mpenzi wangu hua namuambia avae underscet hua navutiwa sana na nguo iyo ya ndani midadi inanipanda sana jamani acheni tu yani natamani ata niitafune ii nguo ya ndani
Mhhh....haya basi mkuu , suuza japo kwa macho tu
Ndiyo baadhi tumeangukia hapo, wengine kwenye bra, na wengine ushungi !! that's our dreamzWalimwengu tuna mambo
Underskirti ndo nini au ndo kishida!?
tupia picha tafadhali.
Hivi gagulo bado zipo duniani???
Bangi la mchana ukichanganya makoko uliyokula kwa mama ntilie.....haya ndio matokeo yake.....