VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Naiunga mkono CCM na serikali zake kushindwa kuongoza nchi na kuvunja Muungano. Nawaunga mkono kwa kushindwa kuwasikiliza Wazanzibar hadi nyumba zetu za ibada zinachomwa. CCM inatisha. Haisikilizi,haiambiwi...inasonga mbele. Haiwasikilizi vijana wa Zenji. Inasubiri kuongea na wazee Karimjee. Gamba linapendeza kweli...
Ndio Mkuu...mbona title ya thread na msg haviendani au na huo ndio usanii wa kuwasilisha ujumbe?
mbona title ya thread na msg haviendani au na huo ndio usanii wa kuwasilisha ujumbe?
Yupo sahihi kutokana na maelezo ya habari yake, ametumia fasihi zaidi ambayo ni sahihi pia.
mbona title ya thread na msg haviendani au na huo ndio usanii wa kuwasilisha ujumbe?
NAPE ataiparamia hii thread na kukimbia blla comment