Nauza zuku decorder na dishi lake

Nauza zuku decorder na dishi lake

bbenedict

Member
Joined
Jun 30, 2013
Posts
91
Reaction score
7
Salam wakuu,nauza chombo hicho kwa bei ya 100,000 tu.nitafute kwenye 0756597108 if intrested.
 
Zuku ina station gani na gani?
Benefit analysis kidogo itasaidia kui market hiyo biashara yako
 
Zuku ina station gani na gani?
Benefit analysis kidogo itasaidia kui market hiyo biashara yako

Inategemea na ununuzi wa kifurushi chako,kifurushi cha bei ya chini station chake ukizidisha kiwango station nyingi hewani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom