Nommy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2015 Posts 448 Reaction score 27 May 10, 2015 #1 ni mpya na bei sawa na bure attachment / pictures hizo hapo chini nicheki 0767191251 Attachments IMG-20150225-WA0040.jpg 40.9 KB · Views: 247
Good Father JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 10,320 Reaction score 18,599 May 10, 2015 #2 Weka bei hapa
Nommy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2015 Posts 448 Reaction score 27 May 10, 2015 Thread starter #3 Ni cheki kwa no hyo
hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,881 Reaction score 9,626 May 10, 2015 #4 Ah wabongo bwana.... basi ungeweka namba ya simu tu hiyo picha ya headphone usingeweka kama huoni umuhimu wa kuweka na bei.......
Ah wabongo bwana.... basi ungeweka namba ya simu tu hiyo picha ya headphone usingeweka kama huoni umuhimu wa kuweka na bei.......
acha matata Senior Member Joined Jan 5, 2011 Posts 165 Reaction score 39 May 10, 2015 #5 It is an open market. Sema bei baba. Kama kuna sample zaidi ya hii iweke pia
Nommy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2015 Posts 448 Reaction score 27 May 10, 2015 Thread starter #6 oooow hyo imeshachukuliwa sasa hvi wapendwa ntatuma sample nyingine .....jion njema
Good Father JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 10,320 Reaction score 18,599 May 10, 2015 #7 Nommy said: Ni cheki kwa no hyo Click to expand... You are not serious yaani nikupigie kuulizia bei? Kwani kuna siri gani kutaja bei hapa? Kwa mwendo huo utauza sana but mteja wa jf hutampata.
Nommy said: Ni cheki kwa no hyo Click to expand... You are not serious yaani nikupigie kuulizia bei? Kwani kuna siri gani kutaja bei hapa? Kwa mwendo huo utauza sana but mteja wa jf hutampata.
SIM JF-Expert Member Joined Oct 25, 2011 Posts 1,796 Reaction score 1,309 May 10, 2015 #8 hp4510 said: Ah wabongo bwana.... basi ungeweka namba ya simu tu hiyo picha ya headphone usingeweka kama huoni umuhimu wa kuweka na bei....... Click to expand... nimempigia kasema anauza elfu kumi
hp4510 said: Ah wabongo bwana.... basi ungeweka namba ya simu tu hiyo picha ya headphone usingeweka kama huoni umuhimu wa kuweka na bei....... Click to expand... nimempigia kasema anauza elfu kumi
hp4510 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,881 Reaction score 9,626 May 10, 2015 #9 Thanks mkuu kwa kutusaidia kupata bei....
Nommy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2015 Posts 448 Reaction score 27 May 10, 2015 Thread starter #10 hahahahaha we kiboko hope unacheti cha uongo umesomea
Nommy JF-Expert Member Joined Apr 29, 2015 Posts 448 Reaction score 27 May 10, 2015 Thread starter #11 sorry ilishachukuliwa tyri nilikuwa nataka post bei mteja kawah kachukua sikuona umuhim tena ..but soon ntapost nyingine na bei :smiling:
sorry ilishachukuliwa tyri nilikuwa nataka post bei mteja kawah kachukua sikuona umuhim tena ..but soon ntapost nyingine na bei :smiling: