IrDA JF-Expert Member Joined Aug 26, 2010 Posts 745 Reaction score 361 Jul 19, 2016 #1 Gaming mouse, wireless kwa bei ya shilingi 10,000 Inafaa kwa matumizi ya kawaida pia. Tofauti yake na mouse ya kawaida ni kwamba iko more sensitive kwenye surface yoyote. Ina additional buttons tatu na unaweza kuziassign zifanye any shorcut unayotaka kwenye computer bila kupata shida ya kuanza kuright click. Kwa wale wacheza game au vitu vingine kama graphics designing au photo editing hii inafaa sana kwasababu ya accuracy na sensitivity yake Mawasiliano: 0659220493 Niko Dar Attachments 640x396xpulldown.png.pagespeed.gp+jp+jw+pj+js+rj+rp+rw+ri+cp+md.ic.EEHQF9nZtG.png 25.7 KB · Views: 58 s-l1600.jpg 17.9 KB · Views: 51
Gaming mouse, wireless kwa bei ya shilingi 10,000 Inafaa kwa matumizi ya kawaida pia. Tofauti yake na mouse ya kawaida ni kwamba iko more sensitive kwenye surface yoyote. Ina additional buttons tatu na unaweza kuziassign zifanye any shorcut unayotaka kwenye computer bila kupata shida ya kuanza kuright click. Kwa wale wacheza game au vitu vingine kama graphics designing au photo editing hii inafaa sana kwasababu ya accuracy na sensitivity yake Mawasiliano: 0659220493 Niko Dar
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,714 Reaction score 14,841 Aug 13, 2016 #2 mkuu nahitaji zinapatikana wapi
IrDA JF-Expert Member Joined Aug 26, 2010 Posts 745 Reaction score 361 Aug 25, 2016 Thread starter #3 eddy_mhando said: mkuu nahitaji zinapatikana wapi Click to expand... Mkuu hii yangu nimeletewa kutoka nje ya nchi, kama unahitaji niPM
eddy_mhando said: mkuu nahitaji zinapatikana wapi Click to expand... Mkuu hii yangu nimeletewa kutoka nje ya nchi, kama unahitaji niPM
X_INTELLIGENCE JF-Expert Member Joined Mar 25, 2014 Posts 10,714 Reaction score 14,841 Aug 25, 2016 #4 IrDA said: Mkuu hii yangu nimeletewa kutoka nje ya nchi, kama unahitaji niPM Click to expand... POA NAKUJA MIDA SI MREFU
IrDA said: Mkuu hii yangu nimeletewa kutoka nje ya nchi, kama unahitaji niPM Click to expand... POA NAKUJA MIDA SI MREFU