mwerevu mwenye busara
Senior Member
- Oct 23, 2016
- 144
- 94
Tupo chimala mbeya bei zake ni kuanzia elfu4500 rejareja na kuendelea kutegemeana na ukubwa na design.Unapatikana wapi
Hapana vigae hatunaVigae pia mnavyo
Tupo chimala mbeya bei zake ni kuanzia 4500 rejareja na kuendelea kutegemeana na ukubwa na design.Yalaaaaa sasa mbona husemi unapatikana wapi na bei?
Nimemiss mtori wa bibi aliokuwa akinipikia kwenye chungu [emoji39]
Nilijua tu utakuwa mbali huko.Tupo chimala mbeya bei zake ni kuanzia 4500 rejareja na kuendelea kutegemeana na ukubwa na design.
ukihitaji zaidi ya 20 punguzo lipo
Hata vyakula vya kwenye jiko la kuni bro...vitamu sana.Vyakula vilivyopikwa kwenye vyungu huwa vitamu sana.
Huko ndo soko letu lilipo kuna mtu kaagiza jumla ntakuconnect nae akuelekeze anauzia maeneo ganiNilijua tu utakuwa mbali huko.
Ukipata mtu anayekuja Dsm nitafute pls...
Nipate walau viwili vinanitosha.
PoaHuko ndo soko letu lilipo kuna mtu kaagiza jumla ntakuconnect nae akuelekeze anauzia maeneo gani
mkuu nitakutafuta tufanye kitu.Tunauza vyungu original vya aina mbalimbali jumla na rejareja. punguza matumizi ya sufuria kwa ajili ya afya yako na dumisha utamaduni wako.
Vinapatikana kwa bei nzuri na size na design mbalimbaliView attachment 437734View attachment 437735View attachment 437736
Karibu mkuumkuu nitakutafuta tufanye kitu.
Nimevitamani
KaribuniYaaani, hunishindi mimi mwaya.