Nauza vyote kwa laki 2

Dr Rutagwerera Sr

JF-Expert Member
Dec 21, 2011
5,810
11,447
Habari wandugu. Hali ngumu. Nauza kitanda mninga, jiko la gas, madiaba ya maji, godoro, meza kubwa, kiti cha mninga, stuli, mashuka baadhi na mapazia vyote kwa laki 2. Vitu vipo mbezi beach. Namba yangu 0687211298
 
Shida zimeumbwa hapo utakuta hata pungufu atachukua.... Mkuu pole sana iwezekana ukawa na tatizo au mpangaji kagoma kukulipa au mdeni wako aliweka dhamana kachemsha kulipa... Weka picha kidogo tuvione fahari ya macho
 
Pole sana Mkuu.

Habari wandugu. Hali ngumu. Nauza kitanda mninga, jiko la gas, madiaba ya maji, godoro, meza kubwa, kiti cha mninga, stuli, mashuka baadhi na mapazia vyote kwa laki 2. Vitu vipo mbezi beach. Namba yangu 0687211298
 
Hakuna Mwaka ambao watu wengi wameuza vitu vya ndani, wameomba kusaidiwa hela, wamekopa, wamekimbia mjini, na wengine kupata kisukari na presha km 2016.
 
Habari wandugu. Hali ngumu. Nauza kitanda mninga, jiko la gas, madiaba ya maji, godoro, meza kubwa, kiti cha mninga, stuli, mashuka baadhi na mapazia vyote kwa laki 2. Vitu vipo mbezi beach. Namba yangu 0687211298
Uko tayari kuandikisha police?
 
  • Thanks
Reactions: Paw

Similar Discussions

Back
Top Bottom