Nauza vyombo vya ndani kwa anayetaka kuanza maisha

Jojo123

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2013
Posts
437
Reaction score
715
Hey wanajamii forum.
Mimi nimeamua kuhama Dar naenda Zambia ila kama kuna mtu anataka kuanza maisha Dar, aje tuzungumze maana Chumba changu kipo sehemu nzuri ya kuanzia maisha na vyombo vyote nakuachia unanilipa kashi , unaanza maisha yako.

Vitu vya ndani kwa Mtu anaye anza Maisha ni kama vifuatavyo

1. Kitanda 5x6 Bei 230,000/=

2. Godoro la Nchies 10 la 5x6 Bei 100,000/=

3. Kabati la Jikoni 150,000/=

4. TV show case- Bei 85,000/=

5. TV ya Nchi 32 aina ya Boss/Antena yake, Na kingamuzi cha startimes vyote kwa pamoja -Bei 300,000/=

6. Mtungi wa Gesi wa Orex size ya kati, Waya wake, na valvu yake- Bei Tsh 70,000/=

7. Jiko la gesi plate 3 -Bei Tsh 30,000/=

8. Jaba kubwa lita 200 au ndoo 8 - Bei Tsh 35,000/=

9. Jaba size ya kati ndoo 4- Bei Tsh 25,000/=

10. Stabilizer ya KV 1500 bei 85,000/=

11.Viti viwili nakuuzia kwa 30,000/ vyote

12. Kodi ya Chumba imelipwa miezi 6 , ambayo ni 50,000/ kwa mwezi mara miezi 6 jumla 300,000\=

13. Kuna kabati la nguo ila hilo nakuachia kama offer bure maana limechakaa ila lina weka nguo mpaka sasa. Mapazia manne ya kisasa bure, Feni nakupa bure.

Kwa hivyo kama una Milion moja na nusu ukinikabidhi naondoka na begi langu la nguo tu nasepa.

Njoo DM kama upo serious kuanza maisha Tokeni mikoani njoon mpambane na Jiji na wale waliopo hapa jijin ila kwa wazazi njooni muanze maisha.
 
Picha
 
Wewe mji umekushinda unatuambia tuje mjini. Mjini hatuji labda tuje JKCI kwa ajili ya matibabu
 
Ukiwa unaenda zambia usisahau kushuka Mbeya ili tupige story kidogo
Hivi Zambia haijapewa kituo kweli maana Nchi nyingi zina vituo, utasikia Msumbiji, Palestine, Morocco, Argentina, nk vyote vituo hivyo na maeneo watu wanaishi ndani ya Tanzania mjini Dar-es-Salaam
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom