Nauza viwanja maeneo ya Mbezi Msakuzi

Nauza viwanja maeneo ya Mbezi Msakuzi

dadandmum

New Member
Joined
Aug 1, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Habarini wakuu, nauza viwanja maeneo ya mbezi msakuzi. Vina ukubwa Wa mita 20 Kwa 20. Bei kuanzia million 7 hadi nane. Barbara inafika hadi uwanjani.
 
Sijui Kwa habari ya nusu heka ila ninavyouza ni 20 Kwa 20 mita
 
Nitajitahidi niiweke ila generally vipo sehemu nzuri sana. Ni tambarare kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom