Nauza viwanja Kisemvule

Nauza viwanja Kisemvule

GOYA MNANDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2015
Posts
239
Reaction score
160
Nina viwanja Kisemvule 15 Km kutoka Mbagala rangi tatu. Nauza ukubwa 100 kwa 50 futi bei 6.5ml, umeme upo maji yapo. Eneo ni tambarare na mchanga haununui.

Kuna kingine vikindu kina matofali 2000. Kwa mwenye kuhitaji 0716671919, napatikana Mbagala

Asante
 
kijiji cha kisemvule mbele kidogo ya mbagala kama 15km chenye ukubwa wa 100/50futi na chenye tofar kipo vikindu kama 10km kutoka mbagala
 
Hiyo bei ni kubwa sana kwa kisemvule,labda kama kipo pembezoni mwa kilwa road
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom