Nauza viwanja kigamboni.

Nauza viwanja kigamboni.

AMAFUMU

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
221
Reaction score
114
Viwanja kipo kimbiji kwa chale.
Ukubwa wa 850 sqm
Bei ni 6,000,000 each
Malipo ni cash
Viwanja vimepimwa utakuwa na kazi ya kutafuta hati tu.
Umeme na barabara ni huduma zilizo tayari.
Call mi 0714227532 ama WhatsApp 0627911500
 
Tatizo la kimbiji uaweza kukaa kituoni kwa muda mrefu sana ukisubiria usafiri kwa sasa soon Patawika na kuwa ghari sana mazingira ya huko mazuri sana aseeee
 
But magari yapo mengi sana.....sema watanzania tunapenda historia....watu waligoma kuhama upanga kwenda sinza wakasema mashambani....sasa wanajilaumu
Sitoshanfaa mtu anaona mbali kimbiji lakini hana hela za kununua eneo magomeni sasa sijui anataka nini!
 
Hahahaha nilikaa masaa matatu kwenye gari sijafika nikaona nishuke nirudi zangu
Hii haina ukweli naishi mjimwema na Nina shamba kimbiji hata nikitumia bajaj haizidi dakika 20 nakuwa nimeshafika, may be ulikuwa unatembea kwa miguu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom