Kaka umbali kutoka feri hadi mbutu kichangani ni km 26. Ila nimeipenda bei maana nilinunua changu kwa bei ya chini miaka 4 imepita naona bei inazidi kupanda. Hela nilitumia mkopo wa chuo siku wakianza kudai nauza nawalipa mafisadi wa nchi hii waendelee kufaidi. Ma ma e e zao