Nauza Viwanja Arusha

Nauza Viwanja Arusha

kitalolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2006
Posts
1,827
Reaction score
708
Kama kuna mtu anataka kiwanja Arusha tuwasiliane.nina viwanja sita nauza vina hati miliki.
Maeneo ni zamani kukiitwa olkerian sasa imeingizwa kata ya moshono baada ya Arusha kuwa jiji, mwanzoni eneo hili lilikuwa Arumeru.
Ukubwa kuanzia square mita 800 na kuendelea
Bei kuanzia milioni kumi na tano maongezi yapo
Karibuni Arusha
Email: kitalolo@gmail.com

Naomba kwa mawasiliano usijibu hapa bali kwa email muda wa kuinhia jf siku hizi kwangu ni mdogo sana.

Asante
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom