Nauza vitu vyangu vya ndani

specialist88

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2014
Posts
1,140
Reaction score
619
Habari ndugu,
Vitu vimeshachukuliwa ndugu zangu. Vimeisha.
 

Attachments

  • 1482577887316.jpg
    23.1 KB · Views: 472
  • 1482577991192.jpg
    22.3 KB · Views: 346
Jiko la gas na mtungi wake ni Tsh 100,000…..(jiko ni la muda kidogo japo linafanya kazi tu vizuri)
Meza ya Tv inauzwa Tsh 120,000/=

Dstv decorder na ungo wake Tsh 60,000/=
 

Dstv decorder ni Tsh 60,000
Friji ndogo samsung Tsh 250,000Mtungi wa gas+jiko lake na meza yake ni 100,000TshMeza ya TV ni Tsh 120,000Kitanda na godoro lake (5 kwa 6) ni Tsh 250,000Makochi mawili (kubwa moja la watu wawili na dogo moja la mtu mmoja) Tsh120,000.
Karibuni wakuu.

Vitu vipo kimara korogwe kwa mama mzaire.
Mawasiliano ni 0625567408
 
Decoder inarecord movie kwenye external au kuplay movies za kwenye external disk
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…