Nauza vitu vya thamani vya ndani kwa bei ya 350,000 Tzs.

Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavyosomeka nauza vitu vifuatavyo jiko la gas mtungi mdogo, kitanda na godoro lake, zuria, feni, kikabati kidogo, stand ya viatu, rice cooker, stand ya nguo n.k karibuni..
weka picha mzee
 
Unapatikana wapi???
 
Mbona godoro limeliwa na panya hivyo? Mtungi umetoboka gesi inakaaje humo? Kitanda 3 kwa 6 daaah
Habari wana jamvi kama kichwa cha habari kinavyosomeka nauza vitu vifuatavyo jiko la gas mtungi mdogo, kitanda na godoro lake, zuria, feni, kikabati kidogo, stand ya viatu, rice cooker, stand ya nguo n.k karibuni..
 
Jiko la gesi pleti mbili-WESTPOINT
Jiko la umeme pleti mbili-NIKAI
YANAUZWA
Location-dsm

Weka ofa yako
 
Attachments

  • 15714918258824813407999659083872.jpg
    176.4 KB · Views: 2
  • 15714918698677059990410743220121.jpg
    220.6 KB · Views: 2

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…