Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,359
Cover za sofaCover za sofa bei gani
Kuna 5 kwa 6 = 22,000tshShuka bei gani?
Vya kwako au kuna mtu unamuuzia kwa kamisheni! Ndo biashara wanayoijua wabongo!Karibuni wote tunauza mashuka bei zinatofautuana .
Tunauza cover za sofa na za bed cover, .
Tunauza mapazia kwa bei nafuu karibuni wote ni tag ukitaka kujua bei ya chochote hapa.
Duka lipo Arusha mjini
Me nipo single niungishe kitu hapaBiashara njema mke wangu.
Maswali mengi hayajengi nunua tu kile unachotakaVya kwako au kuna mtu unamuuzia kwa kamisheni! Ndo biashara wanayoijua wabongo!
UsijaliMe nipo single niungishe kitu hapa
Ukiacha barabra ya kupanda stendi kubwa inayofuata inaitwa kariakoo ukinipa namba zako nitampa mtu wa dukani akupigie uje ukaone mashuka na bed cover zipo pia mapazia yaani pale samani zote za ndani zipo niwewe karibuArusha sehemu gani ili sisi wa Ngarenaro tubadili mashuka.
Namba yangu 0699 22 7942 nipige uje ununue sofa coverCover za sofa bei gani
Tafadhali wasiliana na mimi 0699 22 7942Kuna 5 kwa 6 = 22,000tsh
Kuna 6 kwa 6 = 25,000tsh zote foronya mbili na shuka mbili katika kila seti .
6 kwa 7 = 30,000tsh
7 kwa 8 = 40,000tsh mpaka 45,000tsh
Hizi seti zake ndani utakuta foronya 4 na mashuka 2.
Karibu
Hivi shida yako nini haswa umeacha majukwa mia unakuja humu unauliza ujinga ujinga kama huwezi au hutaki kununua acha na kama unataka kuwa dalali basi nawewe kajiunge sio kazi kutwa Unique Flower kisa nini?? Achaneni na maisha yangu . Mbona kwa wengine huendi kucoment upuuzi na hapa tu aliye kwambia hapa ni jalala lakila takataka kutupwa niniUkiingia kwenye magroup na social media ni watu kupost gadgets, nguo, masahani na mabakuri na masufuria sijui Brenda! Hapo mmbongo kafika! No production! No innovation! Hatuwezi kugundua kitu kipya chetu!
Hamna mnunuaji hapo matapeli na wahuni tu haoMaswali mengi hayajengi nunua tu kile unachotaka