Nauza vitu hivi

Nauza vitu hivi

Hilo ni dukaaa?Maana bei zako ni zaid ya dukani ama zinalingana.
 
meza hiyo inauzwa laki moja na nusu myaa! sasa wewe used unauza bei ya ndege kwendraaaa!
 
150 then nikuletee mpk nyumbani duh haya
Kwetu Mkuranga sofa jipya kama hilo la watatu linauzwa kwa 300 mpaka 250k kwa wahongeaji wazuri kama mimi....kwa hiyo 150 kwa used ni sawa mwana.
 
Nimesoma comments kwenye uzi huu, Dah! Kweli cha Mtu ni kile tukipelekacho msalani! Nakuombea upate mnunuzi ufanikishe jambo lako!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom