Nauza Vitoto vya nguruwe

Mlachake

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2009
Posts
4,458
Reaction score
4,673
Wakuu nipo DSM nataka kubadili biashara kwahiyo nataka niuze hawa wadudu kwa bei ya kutupa mwenye kuhitaji ni PM.

wahi kabl zigo haujaisha.
 
We unatoka mi nafikiria kuingia, unauza sh ngapi, ni aina gani ya nguruwe unaouza,
la kizushi, kwa nini unataka kutoka kwenye hiyo kazi mkuu?
 
We unatoka mi nafikiria kuingia, unauza sh ngapi, ni aina gani ya nguruwe unaouza,
la kizushi, kwa nini unataka kutoka kwenye hiyo kazi mkuu?

Ebu tuambie kwanini unataka kutoka maana nasika inalipa .mimi pia nataka niingie huko.
 
Mkuu kwa sasa utapata hasara subiri mwezi wa ramadhani uishe soko ndo litakuwa kubwa na utauza kwa faida sana!
 
kuna mdau ameamua kubeba Jumla so Deal closed.

Nimamua kuoka kwa kushidwa usmamizi.

Thnks Pals
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…