poa mkuu,mie huyo whatsapp hana sinae.picha hapa zimezingua njoo whatsapp mkuu kwa namba hzo apo juu
niuzie spices we mzenjiAisee we noma unauza usafiri na unakata mawasiliano.
Bora,maana hapo Madem hakuna tena lifti wala kupiga sim.
Mkuu hembu tutupie picha,hasa hiyo mark 2,halafu tuambie imekula Km ngapi na ni 4 au 6 Cylinders?
niuzie spices we mzenji
poa mkuu,mie huyo whatsapp hana sinae.
Watakuja wadai,ila jua public picha ndio zinauza,sio wengine wa Zantel ukatuambia wassap ni issue
Karibu Masai dada,mie najua we apana penda ile nyama iliyoungwa,wewe penda kula ile nyama mbichi.
Najua biriani wewe
Picha zingesaidia sana haswa za gari
I like this! You make me happy!!sijui biriani ndo nini hii
usinilishe tu samak
bora nimeswe na simba si samaki jamani matumoki doi
I like this! You make me happy!!