dany gamase Member Joined Jul 25, 2014 Posts 46 Reaction score 4 Jun 3, 2016 #1 nina vifaranga wa cku 4 chotara wa malawi nauza. kwa anayetaka kufuga nione sasa wakati ndio huu. pia napokea oda ya vifaranga aina mbalimbali kwa bei nafuu. kwa yeyote mwenye uhitaji 0658100001
nina vifaranga wa cku 4 chotara wa malawi nauza. kwa anayetaka kufuga nione sasa wakati ndio huu. pia napokea oda ya vifaranga aina mbalimbali kwa bei nafuu. kwa yeyote mwenye uhitaji 0658100001
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,770 Reaction score 4,656 Jun 3, 2016 #2 halahala mteja asije kuwa kachero, Kuna mwenzio kakamatwa juzi airport akiimport hii ndude
Tutor B JF-Expert Member Joined Jun 11, 2011 Posts 9,025 Reaction score 6,618 Jun 3, 2016 #3 da mikatabafeki said: halahala mteja asije kuwa kachero, Kuna mwenzio kakamatwa juzi airport akiimport hii ndude Click to expand... h, hata vifaranga haviruhusiwi kuwa imported ... ???
da mikatabafeki said: halahala mteja asije kuwa kachero, Kuna mwenzio kakamatwa juzi airport akiimport hii ndude Click to expand... h, hata vifaranga haviruhusiwi kuwa imported ... ???
KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,828 Reaction score 12,320 Jun 3, 2016 #5 mikatabafeki said: halahala mteja asije kuwa kachero, Kuna mwenzio kakamatwa juzi airport akiimport hii ndude Click to expand... Niliona hii kitu jamaa kala hasara ya takribani 5.5m ivi.
mikatabafeki said: halahala mteja asije kuwa kachero, Kuna mwenzio kakamatwa juzi airport akiimport hii ndude Click to expand... Niliona hii kitu jamaa kala hasara ya takribani 5.5m ivi.
mikatabafeki JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 12,770 Reaction score 4,656 Jun 3, 2016 #6 Tutor B said: da h, hata vifaranga haviruhusiwi kuwa imported ... ??? Click to expand... Kuna watu wana nyaraka zote ila wamedakwa juzi na wamenyang'anywa vifaranga vyote sikuelewa kwakweli
Tutor B said: da h, hata vifaranga haviruhusiwi kuwa imported ... ??? Click to expand... Kuna watu wana nyaraka zote ila wamedakwa juzi na wamenyang'anywa vifaranga vyote sikuelewa kwakweli
Yuzhonai JF-Expert Member Joined Oct 6, 2011 Posts 303 Reaction score 69 Jun 3, 2016 #7 Mi nahitaj mwez wa tisa
A Angelo007 JF-Expert Member Joined Dec 1, 2013 Posts 1,846 Reaction score 1,365 Jun 3, 2016 #8 Bei nafuu ndio sh ngapi?