Kama kichwa kinavyojielezea,nauza photocipier mashine(cannon IR 2018)binding mashine,paper cutter,printer(hp)ya rangi,printer ya passport(cannon)kabati la kioo
Pia ipo meza kubwa inayoweza kutumika kwa matumizi ya kiofisi.vyote jumla nahitaji millioni 2.7
Napatikana ubungo,0689953682
Unaweza kunipigia au kunitumia ujumbe mfupi.
Bei inapungua,mzigo bado upo.
Pia ipo meza kubwa inayoweza kutumika kwa matumizi ya kiofisi.vyote jumla nahitaji millioni 2.7
Napatikana ubungo,0689953682
Unaweza kunipigia au kunitumia ujumbe mfupi.
Bei inapungua,mzigo bado upo.