Nauza Vifaa vya saloon ya kike

barnabie

Member
Joined
Jul 13, 2011
Posts
44
Reaction score
6
Nauza vifaa vya saloon vya kike,vimetumika kwa muda wa miezi 5,vipo katika hali nzuri,vyakuchukua nakuanza biashara,drayer 2 moja stimmer,rolaz,vitana,viti vitatu vyakisasa,tray kubwa la kuhifadhia rolaz,mafuta,dawa na vitana....bei milion 1.5,dhumuni la kuuza,sina mwangaliz wa kusimamia mana nasafiri...nicheki kwa namba 0716242588
 

una maana salon, maana saloon ni kama gari vile.
 
dryer mpya mbili italy 600,000
Steamer mpya italy 300,000
Viti vitatu 450,000
Sasa si bora niingie shop
 
Nikupe M1 fasta??????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…