Car4Sale Nauza verossa yangu iko Dodoma kwa bei ya 3.9M

Good Neighbour

JF-Expert Member
Jul 12, 2017
942
896
CAR FOR SALE

MAKE ; Toyota

MODEL ; Verossa

COLOUR ; Silver

TRANSMITTION ; Automatic

Cc ; 1980

YEAR ; 2002

NUMBER ; B

MODE OF TRANSMITTION ; automatic

FUEL USE : Petrol

ENGINE TYPE ; 1G

full a.c,music radio

PRICE ; 3.9M(fixed-haipungui/haijadiliki)

NB : My own car and not a broker

ANGALIZO ; NAHITAJI SERIOUS CUSTOMER ONLY,NJOO NA CASH KABISA.kagua gari tufanye biashara,haina tatizo gari na inatembea kila siku barabarani

-Gari iko Dodoma
-Gari haina tatizo lolote
-Full documents
+255767833496
+255622111186
IMG-20190206-WA0019.jpeg
IMG-20190206-WA0016.jpeg
IMG-20190206-WA0018.jpeg
IMG_20190228_095726_1.jpeg
 
Mkuu,Verossa hata ingekuwa laki nane (800,000/=) kwa mtu anayeelewa nini maana ya gari hawezi kuchukua na ndio maana mpaka leo halijapata mteja kama unavyoshangaa, kwani aina hii ya gari ni jamii ya brevis ukinunua umeliwa.Eti anatakiwa mteja serious,labda wa kishimundu na mambaby huwa wako serious.Lakini mjanja wa magari hawezi kuwa serious hata kidogo.

Fyatua screpa hilo ili upate chuma chakavu uvute mpunga wa kufa mtu ili ule bata vijiweni.
Hiki chombo hakijapata mnunuzi hadi leo??
 
Acha dharau kwenye mali za watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom