Tinamou's Member Joined Dec 23, 2015 Posts 20 Reaction score 2 Jan 27, 2018 #1 Niko magereza kisongo , Arusha-natafuta wanunuzi wa bidhaa hiyo....
Barbarosa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2015 Posts 22,584 Reaction score 27,837 Jan 27, 2018 #2 Tinamou's said: Niko magereza kisongo , Arusha-natafuta wanunuzi wa bidhaa hiyo.... Click to expand... Una uwezo wa kutofautisha uyoga salama na wenye sumu? Kwa maana siyo kila aina ya uyoga unafaa kuliwa!
Tinamou's said: Niko magereza kisongo , Arusha-natafuta wanunuzi wa bidhaa hiyo.... Click to expand... Una uwezo wa kutofautisha uyoga salama na wenye sumu? Kwa maana siyo kila aina ya uyoga unafaa kuliwa!
Tinamou's Member Joined Dec 23, 2015 Posts 20 Reaction score 2 Jan 27, 2018 Thread starter #3 Huu ni uyoga wa kupandwa, si wa kuokota maporini, umeandaliwa shambana kukuzwa kitaalamu.
Tinamou's Member Joined Dec 23, 2015 Posts 20 Reaction score 2 Jan 27, 2018 Thread starter #4 Bei T.shs.8,000/= kwa kg....0754564878
Pierreeppah JF-Expert Member Joined Feb 2, 2014 Posts 1,563 Reaction score 1,988 Jan 27, 2018 #5 Aisee nipe bas utaalam wa kulima uyoga