naona wateja wanazidi kumiminika tu queen b. tujifunze kutangaza kwa weredi lau umshawishi hata asiye na mpango wa kununua lau amwelekeze mwenzake!
*tangazo halitaji ofisi
*mawasiliano
*bei yako
*gharama za usafiri kwa (nje ya dar)
*namna ya matumizi/kuhifadhi kama itahitajia kuepuka hasara.
Uko Bunju, wateja wako unawapelekea, hujataja bei huo uyoga, ama garama za kumpelekea mteja kwake. Mimi nahitaji niletee mbezi Luis, ila unahitaji kuwa na mawasiliano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.