Yumbayumba
JF-Expert Member
- May 31, 2012
- 1,240
- 850
Unataka uione ilivyopauka na kubanduka rangi? Uzuri wa screenshot hata kama kioo kimepasuka pasuka hujuiMBNA Haukoo serious badala uweke picha unaweka screenshot kwani nani haijui note1 ilivo
Hapo ukiendelea kudai picha atakwambia ni pm,huko atakwambia mkuu kioo kimepasuka kidogo ila sio sana